logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,239
- 5,536
Yeah riba ipo, kuliko kukopa kwa mtu na kudhalilishana ukichelewa kulipa, bora nikope kwenye taasisi.. Ni nzuri kama hauna options za mkopoHii nimewah kuitumia mara moja tu. Nilikopa elfu 50 nikashangaa riba ni elfu 7 nadhan.
Sijawahi kopa tena.
Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app