Nahitaji kupata mkopo(loan)

Habari wa JF
Naomba nisiwachoshe, kama kichwa kinavyojieleza naomba kujuzwa kama kuna Taasisi,mtu binasfi au mashirika yanayotoa mkopo hata kwa riba nafuu nipo tayari

Maisha yangu binafsi
Ni mfanyakazi katika kituo flani cha afya mtu binafsi
Naomba msaada wenu
Kwanza unatakiwa kufahamu ya kwamba; hakuna mtu binafsi, taasisi, au shirika lolote lile mdani ya nchi hii linalotoa mkopo kwa riba nafuu!

Yaani kiufupi jiandae tu kwa maumivu, iwapo utaendelea na huo msimamo wako wa kutaka kukopa. Maana utapigwa riba ya kuanzia 30% kila mwezi.
 
Pigania katiba, hii nchi ni ya asali na maziwa. Hakutakuwa na kukopa tena, ukitaka kuoa serikali itakulipia mahari, itakujengea nyumba na kukunulia gari.
 
Back
Top Bottom