Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

Jamaa umetisha sana! hahahahahaha!
 
Hahahah daah siku zinakimbia sana mkuu,hebu muombe lift lord lofa hapo chini usikie majibu yake yatakavyokua
 
Bongo vs Tabasamu
 
Hilo jarida lilikuwa linazalishwa hadi miaka ya hivi karibuni. Ila lilibadilishwa likawa kigazeti fulani hivi kama haya ya udaku.

Sina hakika kama kwa sasa bado linazalishwa.

Ongea na watu wa magazeti uulizie ofisi za hao jamaa unaweza kuwapata.
 
Hizo kumbukumbu adimu gawa kopi mazee, og unakuwa nayo mwenyewe.
Hongera sana kwa utunzaji mkuu. maana sio kaz rahisi.
 
Hilo jarida lilikuwa linazalishwa hadi miaka ya hivi karibuni. Ila lilibadilishwa likawa kigazeti fulani hivi kama haya ya udaku.

Sina hakika kama kwa sasa bado linazalishwa.

Ongea na watu wa magazeti uulizie ofisi za hao jamaa unaweza kuwapata.
Kuna wajuzi wa mambo hayo watupe msaada wa mawasiliano au upatikanaji wake.
 
Hao akina Bawji lazma watakuwa maalwatani wa hapa town au tembelea kuna uzi kule uwanja wa historia utapata vichwa vya kukusaidia
 
Kuna mtu alikua anaitwa Mapung'o...alikua anapiga sana mpira alishaenda mpaka Madrid huko...akitokea Bush Stars...dah! What a moment!
 
Au ukipenda kwa jina jingine anaitwa MEKO😂😂😂
 
Hao akina Bawji lazma watakuwa maalwatani wa hapa town au tembelea kuna uzi kule uwanja wa historia utapata vichwa vya kukusaidia
Muasisi wa hili gazeti Said Bawji, alishafariki siku nyingi zilizopita. Akaliendeleza kaka yake aitwae Amri ambaye kwa sasa anaishi Tanga, ambako ndiko kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…