Nahitaji kupata majani ya mnanaa

KARIAKOO SOKONI ZIMEJAA TELE WAULIZE ...KUNA MBEGU PIA
 
Hakuna haja ya kwenda hata huko kariakoo, hayo majani yapo tu. Mara nyingi yanaota pembeni mwa barabara kwenda kariakoo ni kupoteza mda wako na kupigwa pesa bure tu, uswazi yanatumika sana kama mafagio.
Muelekeze basi yanapopatikana.
 
SAFISHA FIGO KWA Tsh. 500
AU CHINI YA HAPO
Miaka inapita figo zetu zinachuja damu kwa kuondoa chumvi na bakteria wasiohitajika waliomo kwenye miili yetu.
Baada ya muda chumvi hukusanyika kwenye figo hali inayopelekea kuhitaji tiba ya kusafishwa.
Je tunafanyaje suala hili!?
Ifuatayo ni njia nyepesi na rahisi ya kusafisha figo.
Chukua fungu la majani ya mnanaa na uoshe. Katakata vipande vidogo vidogo na weka kwenye sufuria.
Mwagia maji safi na kisha chemsha kwa dakika kumi kisha acha yapoe.
Chuja kimiminika chako chenye majani ya mnanaa na hifadhi kwenye chupa safi kwenye friji ili iendelee kua baridi.
Kunywa glasi moja ya maji kila siku na utaona mabadiliko chumvi yote na uchafu mwingine uliokua umejikusanya utatolewa nje ya figo wakati wa kukojoa.
Utaweza kugundua mabadiliko ya mwili wako mwenyewe.
Majani ya mnanaa yanajulikana kwa kiasi kikubwa kama tiba ya kusafisha figo na sehemu kubwa ya mmea huu ni asili.
Tafadhali sambaza ujumbe huu na weka figo zako safi.

Usiishie kusoma tu
Tuma kwa mtu unaemjali
Siku ya figo Duniani..
Linda figo zako
Prof. Dr. N.Satya Prasad..
Imefasiriwa kwa kiswahili na Sleym m. Slim
 
kusafishia figo, Unachemsha, Kisha unapoza unakunywa glasi MOJA kwa SIKU, Hata Mimi naitafuta
 
kusafishia figo, Unachemsha, Kisha unapoza unakunywa glasi MOJA kwa SIKU, Hata Mimi naitafuta
 
Mkuu nauliza mama mjamzito anaweza kutumia hayo majani mnaanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…