Kweli kabisa japo nina miaka mingi sana bila kuuona huu mmea kwetu kule masaini ilikuwa ni dawa mbadala ya minyoo kwa watoto ilikuwa lazima watoto tuitumie japo mara mbili kwa mwaka
Test gani hiyo sasa!
Nguvu za kiume hazipimwi kwa ugomvi...!
Hahahaaaa! Mi kaka niko naangalia nani ataishia njiani.Aisee dada hao watu nmewashindwa wanaelewana wwnyewe naona asprin kachukua album nzima
Akhu mie sio mpira wa konaView attachment 467855
Hahahaaaa! Mi kaka niko naangalia nani ataishia njiani.
Kipengele muhimu nachokisubiri kwenye hii dawa ni checkup mkuu.
Mie hata sina kaka
Hamu zingine sio kabisaView attachment 467862
Walah mnawezana duh