Nahitaji kupata majani ya mnanaa

Inashughulisha akili hata mie mwenyewe nimeshindwa kuivumbua
Unaweza kunitumia mkuu Ile uliyonayo? Nikiiona Ile original yake ntajua..... Kama hautojari please
 
Kumbe ni tiba ya magonjwa mengi
 
Hii ndio yenyewe....curry leaves....Mnanaa
Ndg naona ume Confuse "mananaa ni mint..."
na curry leaves ni kitukingine kbs!!
navyoekewa waweza pata ktk soko la kariakoo na haya temeke sokoni !!!
Lakini best na original mna3naa inapatikana huko Madina ksa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…