Nahitaji kupata cheti cha kunitambulisha kama (IT)

Nahitaji kupata cheti cha kunitambulisha kama (IT)

Huku
[emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu soon dogo atajua hajui, pale anapojaribu ku-under estimate professions za watu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, Nikiwa kama IT expert namuombea radhi, naamini hajui akisemacho.
Huku mtaani kumejaa watu wanaojifanya wanajua computer lakini kiuhalisia hamna wanalolijua
 
Siku hizi mtu akijua tu kupiga window nae anajiita mtaalamu
 
Back
Top Bottom