Nahitaji kuoa

Nahitaji kuoa

there is a saying goes like this if the ingredients are right you will bake the cake so for your case your ingredients aren't right subiri tu endelea kuchoma mahindi
 
Naitaji kuoa je nioe mke wa aina gani ambaye ni mvumilivu na je kabila gani wanauvumilivu kwenye ndoa umri wangu miaka 25

Hayo utakayo, hayatabiriki! Hakuna kabila ambalo katika ndoa zoote, eti waliotalakiana wakosekane, waliopelekana ustawi wa jamii, waliokamatwa ugoni, wake/waume kupiga wenza, waliozaa nje/ kusingizia waume mimba nk.

Hayo majibu kamwe hutapata hapa. Piga magoti, mwombe Mungu wako, atakuonyesha!
 
We r in the 21st century..watanzania wenzako had wanaoa na kuolewa na foreigners we unaulizia kabila usawa huu??znakutosha kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom