Natafuta Mke 1
New Member
- Nov 6, 2026
- 1
- 10
Sikulaumu maana unapita mlemle nilimopita mimi tofauti tu ni kutafuta nke ntandaoni! Miaka 38 mimi ilikuwa 37. Sasa nashangaa unashindwa mini kupata mke huko nje jamani mpaka tukusaidie?Habari wanajukwaa,
Nimefikisha miaka 38 sasa, nishamaliza utoto ujana na kila aiana ya ushenzi na maamuzi yangu ni kuingia katika ndoa 2027.
Naomba mwenye ndugu, jamaa, rafiki au mwanamke aliyeta tayari kuingia katika ndoa basi tufahamiane na Mungu akibariki uwe mke wangu, nafanya kazi + biashara dar es salaam, ila nipo tayari kuoa kutoka mkoa wowote hata awe kijijini, sibagui kabila wala elimu ila nitaangalia utayari wako na sifa za atakayekuwa mke wangu ikiwemo maadili, uzuri wa mwonekano, afya na akili ya maisha.
Nimekuja hapa sababu sitaki kuwa na mtu wa cycle yangu nahitaji maisha mapya na watu wapya, pia nimeweka post hapa naamini itawafikia watu wengi na nitapata option na mtu sahihi zaidi, kama ikitokea una mtoto basi asizidi mmoja, ikiwa huna au hujawahi kufanya kabisa itakuwa vizuri pia.
Naweka namba yangu hapa naomba tuwasiliane whtsApp, kwa aliye serious au kama una ndugu rafikinaomba nisaidie connection +255 661 309 830
Wewe ulipata wapi mke? Mi naona yupo sahihi mke anapatikana popote tuSikulaumu maana unapita mlemle nilimopita mimi tofauti tu ni kutafuta nke ntandaoni! Miaka 38 mimi ilikuwa 37. Sasa nashangaa unashindwa mini kupata mke huko nje jamani mpaka tukusaidie?
Nimefikisha miaka 38 sasa, nishamaliza utoto ujana na kila aiana ya ushenzi na maamuzi yangu ni kuingia katika ndoa 2027.
Naweka namba yangu hapa naomba tuwasiliane whtsApp, kwa aliye serious au kama una ndugu rafikinaomba nisaidie connection +255 661 309 83
Ungefaidi sana tiktok kuke au face book, kule ukisema hivo wanaporomoka balaaa, alafu kama kweli uko seriois jiunge kwemye magroup facebook jichanganye huko, asee uko ukitangaza kama jivi dm inajaaa fasta sijui waoaji hamna siku hizi sijui shida nini
Nampigia hapatikani! Sijui kwanini anatoa namba fake! Ana utani sana huyu sHemeji yako mpya๐Mungu akupe wa kufanana nae.
Nina maanisha mwanamke ambaye na yeye ashamaliza utoto na ujana na ambaye ashafanya kila aina ya ushenzi.
Ili mtulie nae kwa amani.
Nimempa namba Shem wangu Seran. Huyu hatuhitaji Mahari.
atulie sasa. Ndugu zake tumemchoka ๐๐๐๐
Hiv hum kwenye JF mnajuanajeNampigia hapatikani! Sijui kwanini anatoa namba fake! Ana utani sana huyu sHemeji yako mpya๐
Tunapigiana simuHiv hum kwenye JF mnajuanaje
KumbeTunapigiana simu