No thanks mkuu once again kila la kheri!!am not that desperate as you thinknajitambua vizuri kiongozijaribu huwezi jua
duh!sounds serious men anyway am out of vigezo though n mwl
Kamata babu yako uoe si mradi anybody?
chaga? pole sana ndo ushapishana Na ndoa ivi ivi
nisaidie japo kidogo unavyoweza, hata kuniunganisha kwa mtu ambaye unadhani yupo serious katika hili.
kwani wewe dini gani mkuu? nikuunganishie mtu chapchap