Nahitaji kuoa anybody serious

Nahitaji kuoa anybody serious

1 yrs now,
i think i have given enough time to myself to analysed whats went wrong with my first marriage.

vry sory for that . im intrested so explain abt ur origin n reliogion pleas!!!!
 
True just tell us ili tukusaidie kupata alie poa.(kabila lako na dini)
 
Naomba upunguze desparation mkuu na kuwa makini choose wisely!!Kila la kheri!
 
Mtalaka wako anaishi wp? Na kama ni ndoa mlifuata taratibu zote za divorce? Nauliza haya nikiwa na nia njema sn , watalaka huwa na hasira sn nina mifano juu ya hilo.
 
Mtalaka wako anaishi wp? Na kama ni ndoa mlifuata taratibu zote za divorce? Nauliza haya nikiwa na nia njema sn , watalaka huwa na hasira sn nina mifano juu ya hilo.
yupo kwao mza
taratibu zote zilifuatwa
karibu
 
Nina miaka 31. Nipo arusha.mimi ni mwajiriwa wa serikalini. Namtafuta wa kuoa. Sifa awe na elimu kidato cha nne na kuendelea umri 19 hadi 30. Awe mkiristo piga 0765481551
 
Back
Top Bottom