enery
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 368
- 437
Naomba msaada wa ushari napenda kununua TV kwa ajili ya watoto na familia ila sijui ipi ni bora na nzuri zaidi na ni full HD hata nikikaa kunagalia kandada home niwe naenjoy pia. Msaada wenu wa ushauri plz ila isiwe brand ya kichina tu. Sijui ipi bora zaidi kati ya Samsung na Sony?