Nahitaji kununua Pingu, wapi nitazipata

Hongera kwa kupanda daraja, sasa naona ile kazi yako ya utapeli wa kujifanya usalama wa taifa na uhamiaji sasa unaongeza 'vitendea kazi' ili uzidi kufanya utapeli mkubwa zaidi.
 
Angalia kijana hapa Germany siku za nyuma kulikuwa na case ya msichana kumuua boyfriend wake kwa kumkata kichwa na mashine ya kukata miti. Walianza Kama mchezo jamaa kafungwa pingu kimahaba baadae demu kumbe kichaa kaenda kabatini kachukua mashine Kamkata jamaa kichwa.
 
kaka, tandika mtu ngumi ya kueleweka, polisi wakikukamata na kukufunga pingu wewe kimbia nazo. au tafuta kituo chochote cha polisi waambie kuwa unahitaji kununua pingu watakupatia bure.
 
Kama una mtu uhaibuni mwambie akutafutie kwenye sex shops nadhani zitakuwepo
 
Jamaa anataka pingu mnamzingua, usikute anataka "kufunga maisha" yaani pingu za maisha

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…