Mambembe
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 2,215
- 2,958
Kama kwenu bei chee kwanini usinunuee huko huko kwa 30000 achanga uongo mpunga upo bei ya juaaa guniaa 100000 mpka na 20Duuuh kg 1 kias gan kwetu 1200/= unakula mchele saaafi
Kama kwenu bei chee kwanini usinunuee huko huko kwa 30000 achanga uongo mpunga upo bei ya juaaa guniaa 100000 mpka na 20Duuuh kg 1 kias gan kwetu 1200/= unakula mchele saaafi
Njoo mbarali utakutana na Saro5 gunia 140,000-150,000/=
Watu wamekaa mijini tu hawataki kutembea then wanaongeaaaa! Tena ukiwa tayari kwenda kule niambie nikuelekeze vijiji vya kupata mzigo mwingi namna ya kukusanya unawabebesha ganagana mpk stoo(gunia 500-1000 wanakubebea bila shida.Bora useme wew ndgu unajua watu hawataki kutembea,,,,,,Wao wakizaliwa sehem wanahisi wamemalizaaaaaaa
Nitunzie contact kaka,,,,,,inboxWatu wamekaa mijini tu hawataki kutembea then wanaongeaaaa! Tena ukiwa tayari kwenda kule niambie nikuelekeze vijiji vya kupata mzigo mwingi namna ya kukusanya unawabebesha ganagana mpk stoo(gunia 500-1000 wanakubebea bila shida.
Poa mkuuNitunzie contact kaka,,,,,,inbox
Sisi kwetu kipindi hiki gunia 1 @150000.
Wakati wa kuvuna gunia 1 la mpunga bei yake inaanzia 70000 au 80000.
Yaani mnunuzi unapanga bei yako kabisa .
Ni wapi mkuuHuku kwetu gunia kwa sasa ni 55000/=
Hapo bado mvua haijatulia ikikata tuu neemal maula.
wapi iyo mkuu niibuke uko nchukue mzigoDuuuh kg 1 kias gan kwetu 1200/= unakula mchele saaafi