Godfirst
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 412
- 477
Dumila wanavuna mwezi gani??maeneo mengi bado bei kushuka,hawajavuna ,ukishavunwa morogoro dumila ndani ndani ata kwa kubadilishana na nguo unapata wa kutosha tu ,unaingia ndani ndani ,ndichi kabisa
Dumila wanavuna mwezi gani??maeneo mengi bado bei kushuka,hawajavuna ,ukishavunwa morogoro dumila ndani ndani ata kwa kubadilishana na nguo unapata wa kutosha tu ,unaingia ndani ndani ,ndichi kabisa
Uko sawa Mimi navuna hivi sasa walio nitangulia ndio bei wanayo uzaSisi kwetu kipindi hiki gunia 1 @150000.
Wakati wa kuvuna gunia 1 la mpunga bei yake inaanzia 70000 au 80000.
Mwez gan inkuwaMimi ni mzaliwa wa morgoro ifakara, ikipungua sana bei inakuwaga elfu tano kwa debe ambapo kwa gunia LA debe kumi ni sawa na 5000×10 = 50000. Hapo ndo imepungua sana. Wewe na 40000 yako labda uende shambani ukapige gunia ndo ulichukue
Wa tano hivi hadi wa sita watu wakiwa wanavunaMwez gan inkuwa
Iringa!. Kilometers 70 kutoka mjini.Ndio wap hyo
Muda wa bei hio bado labda wa 5 mwishoni au wa 6 na itategemea na mwaka husika pia. Kumbuka kwa miaka miwili nyuma mpunga haukufika bei izoWadau kwa anaye fahamu kwa kipindi hiki maeneo yanayouzwa mpunga Gunia kuanzia 30000/= hadi 40000/= Naomba taarifa nataka nichkue STOCK.
Watu wa mizani na Vipimo wanaruhusu kusafirisha magunia makubwa,maana Sheria kila siku na huwezi fika dar bure lazima uliwe,kama sio mizani,watu wa ushuru au VipimoNjoo mbarali utakutana na Saro5 gunia 140,000-150,000/=
Uko wapi mkuu nahitaji kama kumi hiviHuku kwetu gunia kwa sasa ni 55000/=
Hapo bado mvua haijatulia ikikata tuu neemal maula.
Mkuu hii bei ni kwa kipindi hikiIringa!. Kilometers 70 kutoka mjini.
Ukifika Iringa mjini kuna magar yanaenda huko nauli ni 3500 mwendo wa masaa 2,utapata basi la saa4 asbh,saa7 na saa8 mchana!.
Nitafute kama upo serious nikuunganishe na vijana wa kukusaidia kukusanya na unawalipa 2000 kwa gunia atakalokuletea eneo unalokusanyia! Yaan wewe ni kuwa na mifuko na pesa kijana anapita kutafuta wauzaji akipata anakuletea mpunga,mnapima unalipa 34000. Ndani ya wiki gunia 100 unakuwa umejaza
Ndio current price!. Mi nmenunua jana mpunga(wa chakula tu)Mkuu hii bei ni kwa kipindi hiki
Huu mpunga umevunwa mwaka huu na vipi upatikanaji wake ukoje kwa wingi auNdio current price!. Mi nmenunua jana mpunga(wa chakula tu)
Mbona nmeeleza vizur kweny post hapo juu bossHuu mpunga umevunwa mwaka huu na vipi upatikanaji wake ukoje kwa wingi au
ahahhaha labda gunia la pumba mkuuNjoo huku kipungahelo gunia la debe6 linaanzia elf12-16
Mkuu Hii Kipungahelo ipo wilaya gani?Njoo huku kipungahelo gunia la debe6 linaanzia elf12-16
Na mimi utanipa ramani mkuu nina plan hiyo mwaka huu sitaki masiharaWatu wamekaa mijini tu hawataki kutembea then wanaongeaaaa! Tena ukiwa tayari kwenda kule niambie nikuelekeze vijiji vya kupata mzigo mwingi namna ya kukusanya unawabebesha ganagana mpk stoo(gunia 500-1000 wanakubebea bila shida.