GUNIA LA KILO NGAPI UNATAKA KWA BEI HIYO? KILO 100 KWA LAKI MOJA TUONANEWadau kwa anaye fahamu kwa kipindi hiki maeneo yanayouzwa mpunga Gunia kuanzia 30000/= hadi 40000/= Naomba taarifa nataka nichkue STOCK.

una bei gani sasa hivi hapo nzega mkuuWatu wamekaa mijini tu hawataki kutembea then wanaongeaaaa! Tena ukiwa tayari kwenda kule niambie nikuelekeze vijiji vya kupata mzigo mwingi namna ya kukusanya unawabebesha ganagana mpk stoo(gunia 500-1000 wanakubebea bila shida.