Bilaly Junior
Member
- Jan 28, 2015
- 41
- 33
Habari wakuu. Naomba kupewa elimu kuhusu youtube channel, namna inavyolipa, na nini kinatakiwa ili kutimiza vigezo vya kulipwa
Nielekeze namna ya kufungua nduguinabidi ufikishe subscribu 1000 na ujiunge na huduma ya adsense kupewa matangazo