Nahitaji kuku wa kienyeji aina ya Kuroiler

Nahitaji kuku wa kienyeji aina ya Kuroiler

JogooKichaa

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Nahitaji vifaranga 500 vya kuku hawa,kama uko dsm na unavyo ni pm tufanye biashara.
 
Min nnao nauza vifaranga vya kuanzia wk moja mpaka tatu.
Napatikana Tanga.
Number zangu za sim ni 0762355114
Kifaranga cha siku moja nauza 2,000
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom