ng'wanankamba
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 346
- 121
Check na hawa jamaa wa Kuku project. Waweza kuwacheki kwenye ukurasa wao wa Facebook.
Safi sanaNahitaji vifaranga 500 vya kuku hawa,kama uko dsm na unavyo ni pm tufanye biashara.
je wanatamia mayai?kroiler asili yake ni india ni kuku wanafugwa nusu huria yaani kienyeji na kisasa wanakula vyakula kama wanavyokula wa kienyeji ila kwa kuanzia unaanza na chakula kinaitwa stater baadaye unakuja kuchanganya consetret na pumba
wanataga mayai baada ya miezi tano na wanataga hadi miaka 2
nyama yake ni tamu kuliko hawa wa kiswahili..
kama upo.dar na unahitaji vifaranga bei ni 2500.
0655404226