Nahitaji kuku layers wanaokaribia kutaga

Nahitaji kuku layers wanaokaribia kutaga

Capital

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,508
Reaction score
1,104
Wanabodi salaam

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nahitaji layers waliokaribia kuanza kutaga, wasiopungua 100. Lazima iwepo rekodi ya chanjo na tiba zingine kwa kipindi chote hadi kufikia umri waliokuwa nao. Karibuni sana pm
 
Kama utaweza nenda pale Tazara karibu na upande wa tbc utapata kwa sifa ulizotoa
 
Back
Top Bottom