Nahitaji kukopeshwa water tank 10000 Lts

mzuwanda

Member
Jan 12, 2013
11
0
Wadau natafuta mtu anikoposhe kiboko water tank 10000 Lts nifanye biashara ya kuuza maji maana huku kwetu inalipa. Nitamlipa ndani ya miezi 10. Kama upo tayari tuwasiliane. 0718412041
 
Simtank la lita 10'000 bei yake ni Mil 2'250'000/= hii ni bei ya sokoni nlilouziwa lasta week. Je unaweza kulipa bei hio kwa miezi 10 kweli kwa kuuza maji tu ?
 
simtank la lita 10'000 bei yake ni mil 2'250'000/= hii ni bei ya sokoni nlilouziwa lasta week. Je unaweza kulipa bei hio kwa miezi 10 kweli kwa kuuza maji tu ?
mkuu 2,250,000 kama ndoo kubwa ya maji inauzwa shilling 100 ni sawa na ndoo 22,500 ukigawa kwa miezi 6 yani siku 180 sawa na siku kuza ndoo 125 nakiukweli atauza zaidi yapo kwaiyo iyo pesa mill2,250,000 anauwezo mkubwa wakulipa nawala sio ishu
 
Back
Top Bottom