Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,361
Sababu ya approach yako....Kwa nn unapingana na wito wangu mkuu
Sasa kupitia jumuiya jisogeze Kanisani na kuongea na PAROKO .Kwenye jumuiya haina shida maana nina network nzuri huko
Ningetaka kuganga njaa si ningejiunga na hawa mitume na manabii, nianze kufanya miujiza na Mmbasi we huna nua ya upadre bali unataka kuganga njaa
Ngoja niongee naye nione atasemajeSasa kupitia jumuiya jisogeze Kanisani na kuongeza na PAROKO .
Kwani hta wao si wapo humu jukwaani ndo maana nikatumia hii njiaSababu ya approach yako....
Hivi umri huo kweli hujui uanzie wapi, hilo ni swala la kiroho zaidi, kwa nn usiende mshirikisha padre wa parokia yako......na ndo hatua muhimu.....
Jambo kama hilo liko too specific wala halihitaji kutua jina fake humu JF....
Kanisa ndo linaitwa au mtu ndo anaitwa??
Mbona vigezo hivyo nakidhiSijui hata nianzie wapi kukufundisha. Ili Mtu awe Padre ni lazima 1. Aitwe na Mungu 2. Akubalike na Kanisa 3. Akubalike na watu. Mojawapo likikosekana haiwezekani.
Wewe ndio unabatizwa lakini ubatizo sio wako.
Hakuna njia ya mkato, bila paroko wako kukomenti vitu Fulani hakuna shirika lile litakupokeaUshahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja
Nitumie ujumbe pm nikuelekeze ujiunge na Shirika la JESUITSNaomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Nenda kwenye parukia iliyokaribu yako utapata muongozoNaomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Pointi tupu hizoSijui hata nianzie wapi kukufundisha. Ili Mtu awe Padre ni lazima 1. Aitwe na Mungu 2. Akubalike na Kanisa 3. Akubalike na watu. Mojawapo likikosekana haiwezekani.
Wewe ndio unabatizwa lakini ubatizo sio wako.
Ok, asante kwa ushahuriNenda kwenye parukia iliyokaribu yako utapata muongozo
Nimekucheki tayari, umejuaje ndo nalitaka mkuuNitumie ujumbe pm nikuelekeze ujiunge na Shirika la JESUITS
Mapadre hawapigi hela mkuu, hao wanaoanzisha makanisa yao ndo wanapiga helaIv unajua nini maana ya Neno PADRI? Kumtumikia Mungu ni jambo zuri na bora lkn kwanjia unayotaka kupitia hata sikushauri, lkn kama utataka kupiga pesa nenda.
Maana ya Neno Padre?Mapadre hawapigi hela mkuu, hao wanaoanzisha makanisa yao ndo wanapiga hela
sawa nawasiliana na wewe muda si mrefuNimekucheki tayari, umejuaje ndo nalitaka mkuu
Mapadre hawapigi hela mkuu, hao wanaoanzisha makanisa yao ndo wanapiga hela
Muombe tu ila usijipendekeze hao ni watu hatari kwa watoto wa kiume..[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja