Nahitaji Kujiunga na upadre

Umeona , jamaa upagani unamsumbua
 
Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja
Kama huwezi kuwa mnafiki sahau upadri
 
Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam

Anza na hawa Boko Haram, Al Shabab....ukishindwa ni pm.
 
Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja
wewe hauko serious hata kidogo,okay ukifanikiwa usisahau kutuombea...
 
Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja

Maisha yote ya seminari ni unafiki na kujipendekeza, ukiweza hili umeyaweza maisha ya upadre. Ni wazo zuri kwenda kumtumikia Mungu wako. Nakushauri uende zaidi jimboni kuliko shirikani maana majimbo mengi hayana mapadre wake zaidi ya kusaidiwa na mashirika, hasa jimbo la Dar es salaam hautachelewa kupata kanzu.
 
Kwa hiyo wana dar es salaam wengi hawataki kumtumikia Mungu mkuu
 
Usikatishe tamaa mkuu, kwani hapo nimekosa kigezo gani

Nakuambia ukweli kutoka moyoni, haufai. Sio suala la kukukatisha tamaa! Hakuna padre ambaye atakupokea umeshakosea na umefanya kosa kubwa. Believe me!

Katika Maandiko Matakatifu, kuna mtu alipendezwa sana na maisha ya Yesu na kazi zake, akamfuata akamwambia nataka nikufuate! Kwa maajabu sana Yesu alimkatalia. Yesu akaenda mbele akamkuta mtu amejikalia zake tu, akamwambia nifuate!
 
wewe hauko serious hata kidogo,okay ukifanikiwa usisahau kutuombea...
Hahahahaaha mara sipo serious mara niwaombee, we sema songa mbele kijana Mungu na malaika wanitangulie kwenye hatua hii muhimu
 
Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja
basi we huna nua ya upadre bali unataka kuganga njaa
 
Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Salaam,
Umeamua jambo jema ,tena jema sana.yawezekana unahamu ya kuwa Padre kwa sasa lkn bado uko mbali saana na kanisa.

Nakushauri ili uamuzi wako wa wito wa Upadre uweze kuufikia au kutambua kuwa huna wito huo ,sali jumuiya, hudhuria misa takatifu dominika na sherehe zote zilizo amriwa.

Kila kitu kinaanzia kwenye Jumuiya .
 
Sema kabisa nimekosea wapi mkuu, sio kutoa shutuma ambazo zinaelea hewani
 
Kwenye jumuiya haina shida maana nina network nzuri huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…