Ungeandika eneo ulipo ingekuwa rahisi kupata msaada.Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Nishaupdate mkuu, nipo dar es salaamUngeandika eneo ulipo ingekuwa rahisi kupata msaada.
Mkuu kama unataka kuwa Padre, una degree na bado mashirika yao umeshindwa kuyajua basi nakushauri usiende huko, huna wito. Yaani hata padre wako umeshindwa kuongea naye akaku-guide? Hata huko kanisani unaenda kweli?Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Ni msaada mkuu, siunajua unakuwa unapitia mambo mengi mpaka unajitambua mkuu??Mkuu kama unataka kuwa Padre, una degree na bado mashirika yao umeshindwa kuyajua basi nakushauri usiende huko, huna wito. Yaani hata padre wako umeshindwa kuongea naye akaku-guide? Hata huko kanisani unaenda kweli?
Mie nakushauri kabla hujafikia hatua hiyo ya kuulizia vyuo vya upadre, kwanza fanya uwe regular kwenda kanisani, halafu jenga uhusiano wa karibu na padre wa kanisa lako, fanya kazi ja kujitolea kwenye kanisa lako halafu ndio uanze kuonyesha interest na kumwambia padre wako juu ya interest yako.Ni msaada mkuu, siunajua unakuwa unapitia mambo mengi mpaka unajitambua mkuu??
Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa mojaMie nakushaui kabla hujafikia hatua hiyo ya kuulizia vyuo vya upadre, kwanza fanya uwe regular kwenda kanisani, halafu jenga uhusiano wa karibu na padre wa kanisa lako, fanya kazi ja kujitolea kwenye kanisa lako halafu ndio uanze kuonyesha interest na kumwambia padre wako juu ya interest yako.
Usitafute upadre kama kutafuta ajira nyingine baada ya kumaliza degree.
Mie nakushaui kabla hujafikia hatua hiyo ya kuulizia vyuo vya upadre, kwanza fanya uwe regular kwenda kanisani, halafu jenga uhusiano wa karibu na padre wa kanisa lako, fanya kazi ja kujitolea kwenye kanisa lako halafu ndio uanze kuonyesha interest na kumwambia padre wako juu ya interest yako.
Usitafute upadre kama kutafuta ajira nyingine baada ya kumaliza degree.




Ili kujiunga na shirika lolote lile, sehemu ya kwanza kuanzia ni kwa Padre au Paroko wa Parokia yako. Tafuta muda uende ukaongee naye, ushauri sahihi utaanzia hapo na maswali yote nenda ukaya pose kwake.Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Hahaha! Huko sio kujipendekeza Mkuu, ni kunyenyekea, sifa mojawapo ya kuwa padre.Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja
Ni kweli kunyenyekea ni muhimu kama mtumishi mtarajiwaHahaha! Huko sio kujipendekeza Mkuu, ni kunyenyekea, sifa mojawapo ya kuwa padre.
Nenda parokia ya Makuburi mtafute Padre Kamugisha.Nishaupdate mkuu, nipo dar es salaam
Kwa hiyo lazima nipitie parokiani, basi ngoja nifuatilie parokia yangu mkuuIli kujiunga na shirika lolote lile, sehemu ya kwanza kuanzia ni kwa Paroko wa Parokia yako. Tafuta muda uende ukaongee naye, ushauri sahihi utaanzia hapo na maswali uote nenda ukya pose kwake.
Karibu sana!
Malcom Lumumba mkuu I hope utam guide kijana katika dhamira yake.
Ndo hapo upadre sio kazi ni kipawa mkuuDuuh
Kazi ya Upadre?Really?
![]()
Ngoja nijaribu kucheki na padre wa parokia nahisi atakuwa msaada muhimuNenda kaongee na padri wa kanisa lililo karibu yako
Kwa hiyo itakuwa ngumu kupokelewa??Usiingie kwenye upadre kwa umri huo. Kwanza hautokubalika, ile ni system fulani sio unajiingiza tu katikati lazima uanzie chini.
Wanaoitwa wanakuwaje mkuu?? Ebu weka vizuri maelezo.Upadri ni wito wewe hujaitwa unajipeleka! Ndio maana tunakuja kupata maaskofu wabovu wabovu Kwa style hii hii ..