king ndeshi10:36today
watu ktoka kaskazini mwa tanzania wameamka kuliko namba kubwaya watanzania,hata maendeleo ya mtu mmoja mmoja yanaridhisha ukilinganisha na sehemu nyingine, so kuichagua chadema ni sehemuya kujitambua kwa watu kutoka kaskazini,the rest of other dump tz inhabitants are just filling the place, am disturbed.msipoamka mpaka mama zenu wataokota makopo. Kidumu chama cha wauza pembe.
whole ----..........Mi cyaan believe yuh jus say dat!nyie sumu kabisa hamfai kuwekwa karibu na kiumbe hai chochote. GO AWAY.....NOW
wamekupa na nauli ya kurudi kwenu?CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEE:israel::israel::israel::israel:
wamekupa na nauli ya kurudi kwenu?
whole ----..........Mi cyaan believe yuh jus say dat!
ccm huna haja ya kuomba kujiunga ukiwa na akili kama zako tayari ni mwana ccm,ulishawahi kuona mtu anaomba kujiunga mirembe?
Wah mek yuh cyaan fi gwan todeh? cyaan chi chi man?nenda fb jf hapakufai, subiri div 5 yako Next week kutoka NECTA
kwani we umelaaniwa? Kujiunga mcc ni zaidi ya kulaaniwa!
unajua kuwinda tembo?
Habari wanaJF,
Mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili.
Mipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika.
Mimi nipo Dar.
hamuoni kuwa nyie ndo mlolaaniwa kwa kutoshika dola na kubaki wapinzani milele amina?
Unaonaje ukielekea pale Lumumba ukiwauliza.
NILISHAENDA NA NINA KADI YANGU SAIVI
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE:yield::couch2:
Hapo sasa sawa, maana unatujazia thread tu hapa wakati kila kona jiji wakereketwa kama wewe wapo tele.
siku unaedit hiyo id ulifanya a very big editing error,badala ya kuandika mburula ukaandika mbuyura!
Hata kama hajui atafundishwa tu
Mijinga mingine kama huyu mbuyula ni hasara sana kwa familia yake na ukoo yake!