Nahitaji kujifunza uchawi, wapi ninaweza kutimiza lengo langu?

Binaadam hatu fanani, kila mtu ana vitu vyake avipendavyo. Tangu nikiwa mdogo nimekua nikiusikia habari kuhusu UCHAWI, kitu ambacho tangu wakati huo nimekua nikipenda simulizi zake na naham ya kuujua (kivitendo). Kwamfano hapa mtaani kwetu kulikua na mzee alikua nauwezo wakugeuza majani kua fedha na kuitumia kama kawa.

Inasemekana kunasiku alikua akisafirisha pombe (Gongo) wakamkamata na kumpeleka mahakama ya mwanzo pale Chang'ombe, inasemekana alikana mashtaka nakudai kua police waliamua tu kumdhalilisha kwani yeye hakua amebeba pomba ni maji tu, na kweli badala ya ushahidi kuletwa mbele ikaonekana kweli ni maji sio pombe.

Kiufupi huyu mzee anastori nyingi na ninaimani dunia hii wako wengi tu. Binafs sitaku kuroga mtu bali natamani niwe mtu wa maajabu ikibidi niwe napaa kabisaaa!! Natamani niwe nayayuka, niwezekuingia hata IKULU bila kuonekana.

Napenda niwe kama Ng'wana Mapalala (jina sina uhakika nalo) tatizo sijui wapi pa kuipata Elim hiyo, nishajaribu kuwadodosa dosadosa wazee mbali mbali nikiamini labda watanipa mwanga lakini wapi? Kila mmoja wao anajifanya hajui tu, wakati wapo baadhi yao ni wachawi kweli na kila mtu anawajua hapa mtaani, sasa sijui nakosea njia ya kuwaomba au labda wana sheria zao za kujiunga? Kiufupi ni hayo tu, kama 'unamsaada wakuweza kuniba nitashukuru .

Mkuu ni PM mimi kwa ulozi sifai kabisa,,, nikikunyooshea kidole tu kwisha kazi .... ila uzuri wa kazi yetu hii ni kwamba Jehhanam nje nje (fanna udhubilah ilaik)
 
Njoo hapa gamboshi kuna shule mbili boarding na day unahitaji ipi kat ya hizo, ada n nafuu sana, kitambulisho cha kupiga kura ni muhim sana uje nacho. Af sijui kwa nn ni muhim ngoja ntauliza nkujuze bdae
 
Ndugu uchawi ni somo kubwa sana linahitaji mtu mwenye ufahamu mkubwa sana,pia uchawi una madaraja
mengi sasa nitakusaidia kujua hayo madaraja ili uweze kujipanga utakuwa daraja lipi.
daraja la kwanza ni uchawi wa Kitabu
daraja la pili ni uchawi wa mawe
daraja la tatu ni uchawi wa wanyama
daraja la nne ni uchawi wa miti na mimea
sasa wewe uapaswa kuelewa haya madaraja nakuchukuwa ufuate yote au moja au mawili hiyo ni hiyari yako
pia usifute ushauri wawatu waoga wasio na ujasiri wa moyo elimu ya uchawi ndiyo elimu ya kale kuliko elimu zote zilizopo sasa hapa duniani kwa sasa elimu hii ipo wazi na huru kwenye mtandao (internet)
kama unajua magic site zipo nyingi unajiunga unapewa maelekezo yote yapo ya bure na mengine unalipa
huna haja yakumsumbua mtu kujua elimu hii ya uchawi kwa sasa kwa maelezo haya kazi kwako
ukifanikiwa kuwa mchawi usinisahau kunieleza umepata daraja lipi
Asante
Wako Haji Rashid AMANI

0
 
Elimu YAKO yamwisho muhimu zaid kabla sijaku advs
 
mkuu ushawahi kuskia kiapo cha mchawi mpya anaeyetaka kujiunga? utachoka, eti kabla ya kujiunga na college hiyo lazma alishwe kinyesi cha mwenzie.

ila nakuombea mafanikio uchawi wako uwe positive,sio negative wa kumlaza mtu nje wakati kalala ndani hapo tutauana!

Uchawi utabaki kuwa mbaya tu na ni chukizo mbele za MUNGU hata mkijaribu kuupamba kiasi gani.
 
Lengo lako la kuwa mchawi na lisitimie kwa jina la YESU...Naona roho ya upotevu inakuvuta bila kujijua.
 
binaadam hatu fanani, kila mtu ana vitu vyake avipendavyo. Tangu nikiwa mdogo nimekua nikiusikia habari kuhusu uchawi, kitu ambacho tangu wakati huo nimekua nikipenda simulizi zake na naham ya kuujua (kivitendo). Kwamfano hapa mtaani kwetu kulikua na mzee alikua nauwezo wakugeuza majani kua fedha na kuitumia kama kawa.

Inasemekana kunasiku alikua akisafirisha pombe (gongo) wakamkamata na kumpeleka mahakama ya mwanzo pale chang'ombe, inasemekana alikana mashtaka nakudai kua police waliamua tu kumdhalilisha kwani yeye hakua amebeba pomba ni maji tu, na kweli badala ya ushahidi kuletwa mbele ikaonekana kweli ni maji sio pombe.

Kiufupi huyu mzee anastori nyingi na ninaimani dunia hii wako wengi tu. Binafs sitaku kuroga mtu bali natamani niwe mtu wa maajabu ikibidi niwe napaa kabisaaa!! Natamani niwe nayayuka, niwezekuingia hata ikulu bila kuonekana.

Napenda niwe kama ng'wana mapalala (jina sina uhakika nalo) tatizo sijui wapi pa kuipata elim hiyo, nishajaribu kuwadodosa dosadosa wazee mbali mbali nikiamini labda watanipa mwanga lakini wapi? Kila mmoja wao anajifanya hajui tu, wakati wapo baadhi yao ni wachawi kweli na kila mtu anawajua hapa mtaani, sasa sijui nakosea njia ya kuwaomba au labda wana sheria zao za kujiunga? Kiufupi ni hayo tu, kama 'unamsaada wakuweza kuniba nitashukuru .

badala useme unataka umpokee yesu kuwa mwokozi wa maisha yako,unatafuta uchawi!!,mpokee yesu ili uingie kwenye ufalme wa mbinguni siku ya mwisho,sio uchawi utakaokupeleka jehanam siku ya mwisho.ushindwe ktk jina la yesu kupokea uchawi wowote!!
 
binaadam hatu fanani, kila mtu ana vitu vyake avipendavyo. Tangu nikiwa mdogo nimekua nikiusikia habari kuhusu uchawi, kitu ambacho tangu wakati huo nimekua nikipenda simulizi zake na naham ya kuujua (kivitendo). Kwamfano hapa mtaani kwetu kulikua na mzee alikua nauwezo wakugeuza majani kua fedha na kuitumia kama kawa.

Inasemekana kunasiku alikua akisafirisha pombe (gongo) wakamkamata na kumpeleka mahakama ya mwanzo pale chang'ombe, inasemekana alikana mashtaka nakudai kua police waliamua tu kumdhalilisha kwani yeye hakua amebeba pomba ni maji tu, na kweli badala ya ushahidi kuletwa mbele ikaonekana kweli ni maji sio pombe.

Kiufupi huyu mzee anastori nyingi na ninaimani dunia hii wako wengi tu. Binafs sitaku kuroga mtu bali natamani niwe mtu wa maajabu ikibidi niwe napaa kabisaaa!! Natamani niwe nayayuka, niwezekuingia hata ikulu bila kuonekana.

Napenda niwe kama ng'wana mapalala (jina sina uhakika nalo) tatizo sijui wapi pa kuipata elim hiyo, nishajaribu kuwadodosa dosadosa wazee mbali mbali nikiamini labda watanipa mwanga lakini wapi? Kila mmoja wao anajifanya hajui tu, wakati wapo baadhi yao ni wachawi kweli na kila mtu anawajua hapa mtaani, sasa sijui nakosea njia ya kuwaomba au labda wana sheria zao za kujiunga? Kiufupi ni hayo tu, kama 'unamsaada wakuweza kuniba nitashukuru .

...maumivu yakikuzidi nenda kamuone profesooorr maji marefu
 
Binaadam hatu fanani, kila mtu ana vitu vyake avipendavyo. Tangu nikiwa mdogo nimekua nikiusikia habari kuhusu UCHAWI, kitu ambacho tangu wakati huo nimekua nikipenda simulizi zake na naham ya kuujua (kivitendo). Kwamfano hapa mtaani kwetu kulikua na mzee alikua nauwezo wakugeuza majani kua fedha na kuitumia kama kawa.

Inasemekana kunasiku alikua akisafirisha pombe (Gongo) wakamkamata na kumpeleka mahakama ya mwanzo pale Chang'ombe, inasemekana alikana mashtaka nakudai kua police waliamua tu kumdhalilisha kwani yeye hakua amebeba pomba ni maji tu, na kweli badala ya ushahidi kuletwa mbele ikaonekana kweli ni maji sio pombe.

Kiufupi huyu mzee anastori nyingi na ninaimani dunia hii wako wengi tu. Binafs sitaku kuroga mtu bali natamani niwe mtu wa maajabu ikibidi niwe napaa kabisaaa!! Natamani niwe nayayuka, niwezekuingia hata IKULU bila kuonekana.

Napenda niwe kama Ng'wana Mapalala (jina sina uhakika nalo) tatizo sijui wapi pa kuipata Elim hiyo, nishajaribu kuwadodosa dosadosa wazee mbali mbali nikiamini labda watanipa mwanga lakini wapi? Kila mmoja wao anajifanya hajui tu, wakati wapo baadhi yao ni wachawi kweli na kila mtu anawajua hapa mtaani, sasa sijui nakosea njia ya kuwaomba au labda wana sheria zao za kujiunga? Kiufupi ni hayo tu, kama 'unamsaada wakuweza kuniba nitashukuru .

Kuna gwiji anaitwa Bush land ..mtafute na hakika utafanikisha adhma yako ila angalizo!!..usifanye jaribio kwa sisi Mangariba.
 
Sasa unajifunzia uchawi hapa jamvini? Wafuate wachawi wenzio ukaanze tuition!!!!
Binaadam hatu fanani, kila mtu ana vitu vyake avipendavyo. Tangu nikiwa mdogo nimekua nikiusikia habari kuhusu UCHAWI, kitu ambacho tangu wakati huo nimekua nikipenda simulizi zake na naham ya kuujua (kivitendo). Kwamfano hapa mtaani kwetu kulikua na mzee alikua nauwezo wakugeuza majani kua fedha na kuitumia kama kawa.

Inasemekana kunasiku alikua akisafirisha pombe (Gongo) wakamkamata na kumpeleka mahakama ya mwanzo pale Chang'ombe, inasemekana alikana mashtaka nakudai kua police waliamua tu kumdhalilisha kwani yeye hakua amebeba pomba ni maji tu, na kweli badala ya ushahidi kuletwa mbele ikaonekana kweli ni maji sio pombe.

Kiufupi huyu mzee anastori nyingi na ninaimani dunia hii wako wengi tu. Binafs sitaku kuroga mtu bali natamani niwe mtu wa maajabu ikibidi niwe napaa kabisaaa!! Natamani niwe nayayuka, niwezekuingia hata IKULU bila kuonekana.

Napenda niwe kama Ng'wana Mapalala (jina sina uhakika nalo) tatizo sijui wapi pa kuipata Elim hiyo, nishajaribu kuwadodosa dosadosa wazee mbali mbali nikiamini labda watanipa mwanga lakini wapi? Kila mmoja wao anajifanya hajui tu, wakati wapo baadhi yao ni wachawi kweli na kila mtu anawajua hapa mtaani, sasa sijui nakosea njia ya kuwaomba au labda wana sheria zao za kujiunga? Kiufupi ni hayo tu, kama 'unamsaada wakuweza kuniba nitashukuru .
 
Yesu ni mchawi mchague Yesu mpende Yesu badilisha maisha yako yaendane na Yesu mimi naamini ukimuomba Yesu atakusaidia kufanya mambo makubwa usiyo weza .Uchawi wa Ibilisi hauna faida utaishia Motoni bure pamoja naye.Njoo kwa Yesu utaroga watu wamjue Mungu na kuacha dhambi zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom