Nahitaji kujifunza uchawi, wapi ninaweza kutimiza lengo langu?

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,084
Reaction score
12,329
Binaadam hatu fanani, kila mtu ana vitu vyake avipendavyo. Tangu nikiwa mdogo nimekua nikiusikia habari kuhusu UCHAWI, kitu ambacho tangu wakati huo nimekua nikipenda simulizi zake na naham ya kuujua (kivitendo). Kwamfano hapa mtaani kwetu kulikua na mzee alikua nauwezo wakugeuza majani kua fedha na kuitumia kama kawa.

Inasemekana kunasiku alikua akisafirisha pombe (Gongo) wakamkamata na kumpeleka mahakama ya mwanzo pale Chang'ombe, inasemekana alikana mashtaka nakudai kua police waliamua tu kumdhalilisha kwani yeye hakua amebeba pomba ni maji tu, na kweli badala ya ushahidi kuletwa mbele ikaonekana kweli ni maji sio pombe.

Kiufupi huyu mzee anastori nyingi na ninaimani dunia hii wako wengi tu. Binafs sitaku kuroga mtu bali natamani niwe mtu wa maajabu ikibidi niwe napaa kabisaaa!! Natamani niwe nayayuka, niwezekuingia hata IKULU bila kuonekana.

Napenda niwe kama Ng'wana Mapalala (jina sina uhakika nalo) tatizo sijui wapi pa kuipata Elim hiyo, nishajaribu kuwadodosa dosadosa wazee mbali mbali nikiamini labda watanipa mwanga lakini wapi? Kila mmoja wao anajifanya hajui tu, wakati wapo baadhi yao ni wachawi kweli na kila mtu anawajua hapa mtaani, sasa sijui nakosea njia ya kuwaomba au labda wana sheria zao za kujiunga? Kiufupi ni hayo tu, kama 'unamsaada wakuweza kuniba nitashukuru .
 
Unatakiwa uwe 'mwanasaikolojia' kwanza. Yaani uweze kucheza na akili za watu na kuwaaminisha vitu visivyo aminika. Pili uwe unajiamini na mwenye msimamo na unachosema na kufanya. Hivyo ndo vya msingi.
 
Elekea nkasi, ulizia mahali panaitwa pasi moto ni pembezoni mwa-hospitali muulizie mzee Posuta; hamu yako itapatiwa ufumbuzi.
 
Uchawi haupo..ndiyo maana tangu utotoni unasikia story tu!! hata hao wazee unaowafuata nao hawajui hata uchawi ni nini!! Kwa kifupi usipoteze muda wako kutafuta kitu ambacho kimsingi hakipo!!
 
Mbona upo sana hasaa kwenu ikuti tukuyu mbeya
 
uchawi upo wewe ni formulae maalum ambae profesa wake au mvumbuzi wake sifahamu ni nani!mf;~chukua nywele za mtu anayekuudhi ziweke ktk kiota cha ndege ambao bado wanakitumia uone nini kitatokea 2>kama mtu anakusemasema vibaya andika jina lake ktk karatasi na kwamba hutaki hakufuatefuate ishike karatasi ifinyange chukua kipande cha foil ya alumn kiweke na ku kunjia pamoja then au grab it / then iweke ktk deepfrezer isahau humuhumu,uone atakavyo funga domo haraka juu yako/what i mean uchawi ni formula tena ni easy principles weka laki 5 hapo nikupe formula mpk uchoke
 
Nimeipenda hiyo ..hebu tiririka tuone kama tunaweza kupata kitu cha kujenga.
 
Uchawi upo, uchawi hautafutwi, ila ushirikina unatafutwa, unaweza kutafuta dawa ya kumzuru mwenzio laini wewe si mchawi, uchawi unarithishwa, au unaweza kuchaguliwa kupewa mkoba na mchawi kama amekupenda kwa mashariti fulani, unaweza kurithishwa uchawi kwa ridhaa yako au kwalazima.

Hakuna kitu kama uchawi mzuri, uchawi ni uchawi tu, huwezi kuwa uchawi just for funny, kwamaana uchawi unamashariti na miiko yake pia unaibada zake za makafara, huwezi kuwa mchawi tu peke yako lazima uwe katika society fulani ya kichawi, kila society ina mfumo wake na mashariti yake.

Katika uchawi kafara ni lazima, na kafara kuu ni damu kwamaana uchawi unaongozwa na nguvu za kiroho na roho hizo chakula chake kikubwa ni damu. Ukiwa katika society za kichawi kisha ukavunja miiko fulani au ukashindwa kutimiza matakwa fulani ya kisociety adhabu yake ni kifo. Uchawi ni ibada kabisa, ibada ya kishetani kuna nyakati fulani katika siku au wiki hukutana kufanya ibada zao, na hii huwa wakati maalum na mahali maalum.

Tofauti ya uganga na uchawi, wachawi wengi wanajificha katika kivuli cha uganga, japokuwa wapo waganga wa kweli wenye taaluma ya miti shamba, hapa nasema taaluma nikimaanisha kurithishwa ujuzi au kusomea sio kuoteshwa, taaluma nyingi za uganga za kuoteshwa ni za kichawi zaidi.

kwa mfano unakwenda kwa mganga wa mitishamba anakupa mzizi wa papai kisha anakwambia chemsha maji yake kishwa unywe saa saba za usiku tu, huku umezima taa kisha usimame kwenye kizingiti cha mlango huku ukielekea upande wa magharibi, huu ni uchawi kamili.

Utoaji wowote wa mitishamba unaoandamana mashariti yasiyo eleweka au yasio na uhusiano na ugonjwa wako au uhusiano na dawa huo ni uchawi ni sawa sawa na kuambiwa chukua maji ya magadi uogee ilikutoa nuksi na mikosi huo ni uchawi, au kuvisha mtoto kamba nyeusi mkononi ili kumkinga na balaa na mikosi huo ni uchawi.

Sikunyingine nitazungumzia uchawi unavyo tumiwa kwenye dini ( Ukristo na uislamu).
 
uchawi upo wewe ni formulae maalum ambae profesa wake au mvumbuzi wake sifahamu ni nani!mf;~chukua nywele za mtu anayekuudhi ziweke ktk kiota cha ndege ambao bado wanakitumia uone nini kitatokea 2>kama mtu anakusemasema vibaya andika jina lake ktk karatasi na kwamba hutaki hakufuatefuate ishike karatasi ifinyange chukua kipande cha foil ya alumn kiweke na ku kunjia pamoja then au grab it / then iweke ktk deepfrezer isahau humuhumu,uone atakavyo funga domo haraka juu yako/what i mean uchawi ni formula tena ni easy principles weka laki 5 hapo nikupe formula mpk uchoke

Shikamoo jino la mamba
 
Mkuu mifano yako inaonyesha wazi kuwa hauuhitaji uchawi kutokana na wewe kuogopa kutake risk za kichawi, mkuu unachohitaji ni kitu kingine kabisa, nikiwa ninamaanisha unahitaji kuwa "ILLUSIONIST"(not sure if i'm correct with the word) au kwa kiswahili rahisi ni "mwanaVIINI MACHO"
nikipata wasaa ntarudi na madini kazaa

.made in mby city.
 
Yaani taaluma zote hujaziona ispokuwa uchawi!!!!!

Nimegundua hujui ulitalo ndugu! kwa maana hivo vitu univyooresha hapo ikiwa ndio sababu yako ya kutaka kuwa mchawi ni za kijinga sana!!!!

Istoshe, kinachotafutwa ni furaha. sasa wewe utafurahia kuwa mchawi eti kisa ugeuze pombe kuwa maji?

majani kuwa pesa?
labda uwaibie tu wenzio. ustake kuposha kazi ya kiwanda cha hela.

Ukijiona mjanja karne hii unaonekana mjinga na waliokupotosha.

Njaa isikusumbue kijana.

Kiwanda cha hela chenyewe kimefungwa na code za uchawi wa hali ya juu sana sio uchawi mbuturi mbatari wa kuhasidiana uliopo Afrika.

Wewe unamatatizo kwenye bongo yako.
kwa maana unaouwezo wa kufanya hayo kwa kutumia tu akili yako tena unauwezo mzuri zaidi wa kufanya mambo yako tena bila kumuasi binadamu mwenzio pamoja na Mungu aliekuumba.
...
CC: Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Uchawi upo, uchawi hautafutwi, ila ushirikina unatafutwa, unaweza kutafuta dawa ya kumzuru mwenzio laini wewe si mchawi, uchawi unarithishwa, au unaweza kuchaguliwa kupewa mkoba na mchawi kama amekupenda kwa mashariti fulani, unaweza kurithishwa uchawi kwa ridhaa yako au kwalazima.

Hakuna kitu kama uchawi mzuri, uchawi ni uchawi tu, huwezi kuwa uchawi just for funny, kwamaana uchawi unamashariti na miiko yake pia unaibada zake za makafara, huwezi kuwa mchawi tu peke yako lazima uwe katika society fulani ya kichawi, kila society ina mfumo wake na mashariti yake.

Katika uchawi kafara ni lazima, na kafara kuu ni damu kwamaana uchawi unaongozwa na nguvu za kiroho na roho hizo chakula chake kikubwa ni damu. Ukiwa katika society za kichawi kisha ukavunja miiko fulani au ukashindwa kutimiza matakwa fulani ya kisociety adhabu yake ni kifo. Uchawi ni ibada kabisa, ibada ya kishetani kuna nyakati fulani katika siku au wiki hukutana kufanya ibada zao, na hii huwa wakati maalum na mahali maalum.

Tofauti ya uganga na uchawi, wachawi wengi wanajificha katika kivuli cha uganga, japokuwa wapo waganga wa kweli wenye taaluma ya miti shamba, hapa nasema taaluma nikimaanisha kurithishwa ujuzi au kusomea sio kuoteshwa, taaluma nyingi za uganga za kuoteshwa ni za kichawi zaidi.

kwa mfano unakwenda kwa mganga wa mitishamba anakupa mzizi wa papai kisha anakwambia chemsha maji yake kishwa unywe saa saba za usiku tu, huku umezima taa kisha usimame kwenye kizingiti cha mlango huku ukielekea upande wa magharibi, huu ni uchawi kamili.

Utoaji wowote wa mitishamba unaoandamana mashariti yasiyo eleweka au yasio na uhusiano na ugonjwa wako au uhusiano na dawa huo ni uchawi ni sawa sawa na kuambiwa chukua maji ya magadi uogee ilikutoa nuksi na mikosi huo ni uchawi, au kuvisha mtoto kamba nyeusi mkononi ili kumkinga na balaa na mikosi huo ni uchawi.

Sikunyingine nitazungumzia uchawi unavyo tumiwa kwenye dini ( Ukristo na uislamu).

Well said mkuu...
Yaani kwa asiyeelewa hapa basi!
 
Aisee..... Uchawi ni uwanja mpana sana
 
Aisee..... Uchawi ni uwanja mpana sana
uchawi uliletwa duniani na luta na maluta hiyo ni kauli ya allah! Na sherehe ya ayat hiyo inasema!! Hawa wachawi wa kisilamu wanautumia kufarakanisha hata mtu na mkewe...(fasiri qaraa ya shehe abdala farsi) hivyo basi ni heri umshauri asilimu ili aujue uchawi kama unavyo ujua wewe kwamba ni uwanja mpana! Sawa?
 
Ukifika Kasulu-Kigoma nenda kijiji cha Herujuu au Makere utaupata tena bure!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom