Nahitaji kufahamu zaid kuhusu vyeo pamoja na mishahala ya askali

Nadhani Kama unatoka shule au mtaani moja kwa moja na una miaka zaidi ya 25 huchukuliwi.

Ila kama una omba kwa mujibu wa elimu yako kama vile degree au diploma au certficate yeyote basi unaweza kwenda na zaidi ya miaka hyo 25
Kwa fomu zilizotaka mwaka jana 25 yrs ilikua ni kwa mtu mwenye bachelor tu yani wanangazi ya elimu na muska husika mf diploma kwa mwaka jana ilikua ni miaka 23 na 24 chini ya 23 yrs utaomba kwa cheti cha certificate
 
Nadhani hyo uliyoona ndo iko sawa sawa.
Kwa fomu zilizotaka mwaka jana 25 yrs ilikua ni kwa mtu mwenye bachelor tu yani wanangazi ya elimu na muska husika mf diploma kwa mwaka jana ilikua ni miaka 23 na 24 chini ya 23 yrs utaomba kwa cheti cha certificate
 
Elimu ya 4m 4 mshahara,posho na ya vinywaji kwa mwezi ni laki 8...
Maisha bwana.

Wakati mwalimj na degree pale zanzibar hafiki pesa hiyo kwa mwezi wakati police wa form four anachukua mia nane kwa mwezi daaah.
 
Maisha bwana.

Wakati mwalimj na degree pale zanzibar hafiki pesa hiyo kwa mwezi wakati police wa form four anachukua mia nane kwa mwezi daaah.
Kinachombeba mwalimu hapo huku bara mwenye degree za art anakula 720k akikopa anachukua hela ndefu kuliko askar hawez kopea posho na ya vinywaji.
 
Back
Top Bottom