Nahitaji kufahamishwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kufahamishwa!

Discussion in 'Sports' started by Dan84, Sep 15, 2012.

 1. Dan84

  Dan84 Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wadau wa soka, kwa mujibu wa uelewa wangu, natambua tofauti ya nyuzi za longitudo 15 ni sawa na saa 1. Uingereza (nyuzi 0), tz (nyuzi 45 masharik) tofauti, inakuwa masaa ma3, kwa hiyo unategemea uingereza ikiwa sa 9, tz tunaangalia game sa 12, lakin kuna vipindi badala ya sa 12, huku tunaangalia sa 11 jion, nifahamishwe tafadhali? (samahan mpangilio mbovu, nimetumia simu, wenye maarifa ya jiografia, mnakaribishwa)
   
 2. M

  Masuke JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Nijuavyo mimi kuna muda wanatumia GMT ambayo ni tofauti ya masaa matatu na sisi na mara nyingine wanatumia CET ambayo ni tofauti ya masaa mawili, sasa ni lini wanatumia GMT na lini wanatumia CET hapo nami naomba kufahamishwa.
   
 3. Dan84

  Dan84 Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Asante mdau, shukrani!, haya, wanaojua lini CET na GMT, inatumika watiririke, karibuni bandugu!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Nadhani mabadiliko yanatokea kufuatana na mabadiliko ya hali ya hewa, kipindi cha summer na winter.
   
 5. Dan84

  Dan84 Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Asante katavi!, wana-jiografia mwagikeni, mtupe confirmation.
   
Loading...