benjaminmathayo
Member
- Dec 23, 2016
- 19
- 7
Wakuu nimekuja kwenu kuomba mtu mwenye uwezo wakunichimbia bwawa la kufugia samaki na kulitengeza liwe tayari kwakuweka samaki naomba tuwasiliane kupitia 0756888861.nahitaji bwawa lenye uwezo wakufuga samaki kuanzia 12000 haad 15000 napatikana singida.pia karibu kwa ushauri maoni na nyongeza.