Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

JIMMY BENNE

Member
Apr 15, 2013
28
1
Wakuu juzi kati nimedondosha simu yangu bahati mbaya imevunjika Screen tachi. Je naweza kuipata wapi na gharama yake ikoje?

NB: Simu bado inatumika kama kawaida ila muonekano wake sio mzuri.
 
Pole sana kwa tatizo lako,nami yalinikuta majanga kama hayo gharama ya lcd complete ni tsh 250000 kwa dar tembele mawakala wa samsung
 
Back
Top Bottom