Nahitaji kuanza kutumia pombe

So story ndio imeisha bangosha??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu we acha tu
Asubuh nliamka kichwa ni kinauma balaa

Hiv mtu anawezaje kunywa ma serengeti 8-9-10 hayana hata sukari wala utamu
 
Pombr
Atakumbukwa nini Kila kitu ni kuki control kilevi chochote wew NDIO ukiendeshe sio chenyewe kikuendeshe....
Pombe haipunguzi stress mkuu, inaongeza stress,the Devil is cheating you.Anza kumtafuta Mungu,hiyo ndio solution ya stress.Shetani kakuletea stress sasa anakupeleka kwenye tatizo lingine,be smart,stand firm,say no.
 
Sikushauri uanze kunywa pombe Kama njia ya kutoa stress otherwise utaongeza tu stress...wenzako tunapambana sn tutoke huko na umesema uchumi wako sio mzuri plz usiingie kwenye pombe
 
Usithubutu mdogo wangu,hapa nilipo napingana kuacha pombe imeshindikana,ukitaka kuzidisha matatizo yako Anza kunywa,siku unastuka huna nguvu tena ya kuinuka.
Anza kushiriki shughuli za kanisani(siyo hizi mushroom churches)niunge na vikundi vya kwaya Kwa muda wa ziada,Yesu atakuponya...
 
Konyag ndogo = 4000
Value ndogo = 3500
Bongo ze don = 1000
Heineken n whindehook = 3500
Safari kubwa = 2500
Banana =1000
Ama kunywa mvinyoo wa rozela ndo hutogundulika ila inalewesha sana
 
Kichwa Chako tayari Kinaonekana ni Kichwa Cha Pombe So Usiongeze Pombe Katika maisha Yako Utanishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…