Others
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,199
- 2,800
Wengi wanakunywa Pombe kwasababu ya Umaskini.
Nliwahi kushuhudia Jamaa yangu Mmoja ni Mlevi Mbwa yule anakwenda Bar/Lounge na Buku 2 lakini anarudi Asubuhi chakali anakwambia nimekunywa sana hata sikumbuki Idadi. Lakini baada ya kuahidiwa Kazi na Sharti ilikua asinywe... Sasa ameacha na ana familia ya watoto wawili tena Mchungaji Msaidizi Kanisani sasa akiwa anaelezea historia yake ya nyuma, Utaipenda.
Kila mnywaji kuna 'KITU' anahitaji na wengi ni kuondoa STRESS & DEPRESSION hasa katika kipindi hiki cha 'Inflation' wengi wamejikuta wameanza kunywa bila kutarajia hasa Mapombe Makali.
Imagine Mdada anakunywa SUNGURA SMART GIN dry. buku2tu. 37%ALV

Kwanza hongera sana kwa kuweza kulitambua tatizo na kuanza juhudi za kupambana na tatizo mwenyewe. Hapo umeshafanikiwa kupona ugonjwa huo kwa asilimia 80