Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 547
- 559
Wakuu Heshima kwenu
Nikiwa kama kijana mtafutaji, nimejibana kwa kipind kirefu nimepata 6M, nahitaji kiwanja maeneo ya mapinga hadi Zinga bagamoyo kiwe karibu na barabara kuu ya bagamoyo, atleast kiwe na ukubwa walau kuanzia 30M kwa 30M, kisiwe na mgogoro wowote..
Mwenye kujua mtu anaeuza, au msaada zaidi kijana mwenzenu nataka nianzishe mji mdogo mdogo..nakaribisha na ushauri zaidi...
Natanguliza Shukrani,