Kutokana na kuongezeka umuhimu kwa Jiji LA Tanga nimeamua kuwekeza huko kwa kufanya ujenzi wa nnyumba ila nimetaadharishwa kuwa migogoro ya viwanja ni mingi sana kutona na watumishi wa idara ya arthi na viongozi wa vijiji kuendekeza tamaa, naomba kwenye kiwanja surveyed ake p.m, nitafurahi zaid kama kiwanja nitakua maeneo ya kange.
Budget yangu ni m5-m8, nawasilisha.
Budget yangu ni m5-m8, nawasilisha.