Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,438
- 3,951
Nahitaji kiwanja Dodoma sifa za kiwanja na offer ni kama ifuatavyo:
1. Kiwanja kisiwe umbali wa Meter 600 kutoka barabara ya lami.
2. Kiwanja kisiwe sehem yenye mafuriko ya msimu wa mnvua.
3. Kiwanja kiwe sehem ambapo Hiace zinafika yani zifike lami ambapo mtu atashuka na kwenda mita 600 kufika eneo husika ya kiwanja.
4. Kiwanja kisiwe na mgogoro na mauzo yatafanyika kwa mtendaji na familia ya muuzaji watahusishwa/ au kiwe na hati.
5. Bei ya kiwanja isizidi mil 4.5