Nahitaji Kiwanja Dodoma

Nahitaji Kiwanja Dodoma

Njoo upate kiwanja kigamboni vipo karibu na bahari kabisa sehemu ambayo imeendelea utalipia kwa miezi 15...kampuni yetu inaitwa PROPERTY INTERNATIONAL LIMITED......
Kwa mawasiliano zaidi 0652066570...0694089561....pia Kuna viwanja Bagamoyo,mlandizi na pia kigamboni tuna miradi zaidi ya 16....ambayo inaviwanja zaidia 198...
 
Boss naomba nikwambie ukweli tu

Ukipata kiwanja Dodoma kwa bei hiyo chenye hata 500sqM jua unapigwa yaani kina mgogoro

Nala sikushauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom