Nahitaji kitabu cha KAMASUTRA nakipata wapi?

Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania.

Naipenda sana nchi yangu na siko tayari kuidhalilisha kwa namna yoyote ile hasa katika nyanja ya papuching.

Itakua machozi jasho na damu, hii nchi ya kiarabu ninayokwenda kupambana nayo jumaamosi papuchi nataka ifuke moshi kama uwimbombo na ulindi. Nataka nishone mpaka boxa ya bendera ya Tanzania, wapi kuna mafundi cherehani wazuri mazee au niende kuishonea VETA?

Viva Tanzania, Viva Bafetimbi. Nataka nifungue mwaka kivietnam sina masihara mpaka nipewe ubalozi wa Tanzania huko UAE(United Arab Emirates)

Msaada wa hicho kitabu tafadhali.

Naomba kuwasilisha,, MBAA MBAAA MBAAA(in makofi ya bunge's voice)

View attachment 2067114
Mungu wa mapenzi wa kihindu
 
Utakuja kufa mkuu,,,, usipanie sana game
Sio kufa TU,
ataperfom vibaya Sana.

Game mpya unatakiwa kurelax Sana uweze kupata point 3
tapatalk_1580871890407.jpg
 
Tumnara twenyewe twa maana basi....hasa twa chips yai dakika mbili nyingi kanafeli kabla hata hakajaingia.

Madogo wanaanza anasa hata hivo vimnara havitoshi kwenye Cndom...halafu bado wanatafuta na vitabu...

Na nchi inawategemea waje kuleta maendeleo...wao wanawaza kufinyiwa kwa ndani....heheheh kazi sana hii nchi
Hovyo sana...
 
Ukiipania sana mbususu unaenda kufanya makolokocho na kanyamoo inaweza kukuaibisha zaidi isisimame.....
Screenshot_20211021-210611_1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom