Nahitaji kinywaji cha kuongeza nguvu

Nahitaji kinywaji cha kuongeza nguvu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Jamani naombeni dawa

Ivi Kuna dawa yeyote au kinywaji chochote ambacho mtu akiwa ana kitumia ana piga kazi ma saa 24 bila kuchoka au kusikia usingizi ? Tofauti na bangi au madawa ya kulevya ?

Don't ask me why i want this just help me if you know
 
Hakuna,mwili ni lazima upumzike
 
Binadamu si robot....kupumzika kwa mwili ni pamoja na kuupumzisha ubongo ili baadaye uanze kuwa "fresh".....

Anyways ukitaka uuchangamshe mwili na kuwa "active" kula ndizi mbivu 3.......

Kunywa maji mengi(kiasi)...

Chengine kunywa "cocoa".....

Best wishes
 
Wanasema ukitumia mirungi hupati usingizi ila sio Nguvu.
Ila wataalamu wa afya wanashauri kuhusu kupumzisha mwili kwa afya njema
Nina malengo yangu Sasa naitaji kufanya kazi Saana bila kupumzika
 
Mara 100 uvute bangi na siyo madawa ya kulevya
Kula msosi wa kutosha. Balance diet na ufanye mazoezi bila kusahau matunda na maji mengi
Jamani naombeni dawa

Ivi Kuna dawa yeyote au kinywaji chochote ambacho mtu akiwa ana kitumia ana piga kazi ma saa 24 bila kuchoka au kusikia usingizi ? Tofauti na bangi au madawa ya kulevya ?

Don't ask me why i want this just help me if you know
 
Sikushauri kabisa kuhusu Hilo,tafuta njia nyingine lakini Sio kutolala!
 
Jamani naombeni dawa

Ivi Kuna dawa yeyote au kinywaji chochote ambacho mtu akiwa ana kitumia ana piga kazi ma saa 24 bila kuchoka au kusikia usingizi ? Tofauti na bangi au madawa ya kulevya ?

Don't ask me why i want this just help me if you know
Kulala ni muhimu, utajiua na kazi itapata mtu mwingine wa kuifanya.
 
Jamani naombeni dawa

Ivi Kuna dawa yeyote au kinywaji chochote ambacho mtu akiwa ana kitumia ana piga kazi ma saa 24 bila kuchoka au kusikia usingizi ? Tofauti na bangi au madawa ya kulevya ?

Don't ask me why i want this just help me if you know
Tafuna mang'ela hasa wale mang'ela ya Kisafwa macho mabaya
 
Back
Top Bottom