Nahitaji kinywaji cha kuongeza nguvu

Nahitaji kinywaji cha kuongeza nguvu

Jamani naombeni dawa

Ivi Kuna dawa yeyote au kinywaji chochote ambacho mtu akiwa ana kitumia ana piga kazi ma saa 24 bila kuchoka au kusikia usingizi ? Tofauti na bangi au madawa ya kulevya ?

Don't ask me why i want this just help me if you know
Acha kula vyakula vyenye sukari na vyenye wanga mwingi. Kula vyakula ambavyohavijawekewa chemicals nyingi, kunywa maji ya kutosha na fiber nyingi.
 
Energy drink yeyote changanya na gins yeyote we piga tu hata masaa 48 utatoboa Ila impacts zake pambana nazo mwenyewe
 
Back
Top Bottom