Fanya kazi kadiri ya uwezo wako Mkuu ukiona mwili umechoka pumzika.Mwili wenyewe uko automatic kuwa sasa nahitaji kupumzika kutokana na kazi iliyofanya,kutaka kujiOverWork kutafuta matatizo ambayo mwisho wa siku itabidi hiyo ziada ya pesa uliyopata kwa kujiOverwork uitumie kwwnye matibabu ya mwili.
Kanuni zinasema Input =Output
Au Garbage in = Garbage out
Wakiwa na maana kwamba utakachokula ndicho utakachotoa.
Sasa ww ndugu yangu unataka kula sanaa ili mwisho wa siku utoe haja kubwa nyingiii yaan unamuiga tembo kunya,kitakachofatia ni kupasuka msamba tu mana tumbo lako halina uwezo wa kubeba chakula kingi, na hata mkund* pia haujatengenezwa kutoa haja kubwa kiasi cha mfano wa tembo.
So kula kiasi kuny* kiasi kulinganga na saizi ya mwili yako,vivyo hivyo fanya kazi kiasi ambacho mwili unahimili ili kesho tena uendelee kufanya.
Wasaalaam