MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,532
Salaam wanajamvi, bila kupoteza mda nahitaji kijana mmoja kwa ajili ya kuchoma chips eneo la Bunju Sokoni stendi kabisa, mshahara maelewano..tuwasiliane 0621 523916
Kuna kijana juzi alikuws anatafuta kazi hapa JF ngoja nimtafuteSalaam wanajamvi, bila kupoteza mda nahitaji kijana mmoja kwa ajili ya kuchoma chips eneo la Bunju Sokoni stendi kabisa, mshahara maelewano..tuwasiliane 0621 523916
Ni kuchoma chips au kukaanga chips?Salaam wanajamvi, bila kupoteza mda nahitaji kijana mmoja kwa ajili ya kuchoma chips eneo la Bunju Sokoni stendi kabisa, mshahara maelewano..tuwasiliane 0621 523916
Vyovyote vile mkuu, ila ameeleweka!Ni kuchoma chips au kukaanga chips?
Mimi najua kumenya