Karibu....Asante kwa ushauri
habari zenu ndg nimeshapata Kazi asanteni kwa ushirikiano wenu,Mungu awabariki.Habari wana jf Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,elimu yangu form 4 na nimesomea nursing Ila nahitaji Kazi yoyote ya ndani(maid),ya duka,mgahawa pia Nina uzoefu wa m-pesa,kazi yoyote nipo tayari ili mladi ya halali nipo DSM Kibamba ccm,namba yangu 0745047876
Umepata kazi wapi? Embu funguka vizuri isije kuwa umeuzwahabari zenu ndg nimeshapata Kazi asanteni kwa ushirikiano wenu,Mungu awabariki.