Nahitaji kazi yeyote, nimesoma Nursing

Nahitaji kazi yeyote, nimesoma Nursing

Ukisikia sehemu ya kudanganyana na kupoteza mb buree ni jf...mtongozo kibao
 
Nenda website ya TANAPA wamepost kazi hadi za unesi zipo...apply
 
Habari wana jf Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,elimu yangu form 4 na nimesomea nursing Ila nahitaji Kazi yeyote ya ndani(maid),ya duka,mgahawa pia Nina uzoefu wa m-pesa,kazi yeyote nipo tayari ili mladi ya halali nipo DSM Kibamba ccm,namba yangu 0745047876
Kazi yeyote ni rahisi sana kuipata na utaipata tu ila kazi 'yoyote' ni shida, utahangaika sana
 
Habari wana jf Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,elimu yangu form 4 na nimesomea nursing Ila nahitaji Kazi yeyote ya ndani(maid),ya duka,mgahawa pia Nina uzoefu wa m-pesa,kazi yeyote nipo tayari ili mladi ya halali nipo DSM Kibamba ccm,namba yangu 0745047876
Kwanini hauna mume au wew ni single mother
 
Mbona mtu mwenyewe katoa tangazo halafu kasepa!??
 
jaman nipo mbeya mjini natafuta kazi ya kufundisha masomo English na Geography ... 0757990654
 
Nakushauri tu usiombe kazi yeyote jaribu kuwa na kipimio na aina ya kazi unayotaka kufanya japokuwa ni changamoto kuipata uitakayo . lkn ni changamoto zaidi kutokuwa specify kazi gani. Sijui kama ni mwajiri gani atakupa kazi yoyote . anyway bora umesema hata ya ndani , kulisha kuku nk. But try to focus.
nimekuelewa
 
Usikate tamaa hivyo, jaribu kuwa specific unapotafuta kazi. Sio kila kazi unaweza kufanya. Usijirahisishe hata km vyuma vimekaza
najitambua siwezi jirahisisha sababu hakuna mtu ajuaye Mapito ya mtu
 
Sina uzoefu na huko Ku pm hata sikujui ndo maana nimeweka namba wenye nia nzuri watani SMS kama mtu hana nia sitofatilia hilo isitoshe nikipata Kazi napelekwa na mlezi sitokurupuka najitambua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom