Nahitaji kazi yeyote, nimesoma Nursing

Nahitaji kazi yeyote, nimesoma Nursing

Habari wana jf Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,elimu yangu form 4 na nimesomea nursing Ila nahitaji Kazi yeyote ya ndani(maid),ya duka,mgahawa pia Nina uzoefu wa m-pesa,kazi yeyote nipo tayari ili mladi ya halali nipo DSM Kibamba ccm,namba yangu 0745047876
nifate pm kama hutojali plz
 
Nakushauri tu usiombe kazi yeyote jaribu kuwa na kipimio na aina ya kazi unayotaka kufanya japokuwa ni changamoto kuipata uitakayo . lkn ni changamoto zaidi kutokuwa specify kazi gani. Sijui kama ni mwajiri gani atakupa kazi yoyote . anyway bora umesema hata ya ndani , kulisha kuku nk. But try to focus.
 
Samahani wana jf Mimi ni mgeni sina uzoefu wakutumia hii app ndo maana nimeweka namba naomba kama kuna kazi serious nicheck WhatsApp or ni sms mnaonambia niwa pm mi sielewi huko Ku pm
 
Dada unatafuta kazi au unatafuta mwanaume/mume? Kutoa namba kirahisi rahis hvyo hasa kwenye social media haipendezi. Siku nyingine weka tangazo then akitokea mwenye nia ndo unaweza mpk no.
 
Usikate tamaa hivyo, jaribu kuwa specific unapotafuta kazi. Sio kila kazi unaweza kufanya. Usijirahisishe hata km vyuma vimekaza
 
Habari wana jf Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,elimu yangu form 4 na nimesomea nursing Ila nahitaji Kazi yeyote ya ndani(maid),ya duka,mgahawa pia Nina uzoefu wa m-pesa,kazi yeyote nipo tayari ili mladi ya halali nipo DSM Kibamba ccm,namba yangu 0745047876

Hapo kwenye hizo red, yeyote inatumika ukiwa unataja binadamu, sio kwenye vitu, neno sahihi ni yoyote.
Hutumii neno mladi ni mradi. Na usiwe unapenda kutoa namba zako ovyo hata kama uko desperate kuomba kazi.
 
Itakuwa amekubaliana na matokeo ya usumbufu atakaoupata
 
Hiyo namba yako ya simu naruhusiwa kuitumia kwa mambo yetu yale dear wangu?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
I wish ningekuwa Dsm sema nipo mkoani na sina ratiba ya kuja huko karibuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom