Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,938
Upo Tayari kufanya kazi Mkoani?Habari wana jf Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,elimu yangu form 4 na nimesomea nursing Ila nahitaji Kazi yoyote ya ndani(maid),ya duka,mgahawa pia Nina uzoefu wa m-pesa,kazi yoyote nipo tayari ili mladi ya halali nipo DSM Kibamba ccm,namba yangu 0745047876