bwenyz
Member
- Sep 19, 2016
- 55
- 20
Jamani wana JamiiForoms,
Naombeni mwenye ushauri au msaada juu ya hili,
Nina diploma ya international relationship and diplomacy na sasa hivi nipo bachelor ya coz hiyohiyo ndio nipo mwaka wa kwanza, ila sasa nimekosa mkopo mambo ya ada na mahitaj mengine, imekuwa tatizo.
Sasa nahitaji nipate kazi huku nasoma, nitumie cheti changu cha diploma, nishajaribu maeneo mengi kazi ni ngumu, ila kama kuna mtu kasikia mahali kuhusu kazi, nipo tayari kufanya kazi yoyote lengo ni kupta hela ya ada.
Please, wengi watauliza nitasomaje huku nafanya kazi, nitaweza.