NGolo Kante
Member
- Feb 28, 2017
- 80
- 131
Kama nikiombwa ushauri, kamwe sitamshauri mtu asiye na connection nzito nzito kusoma IR. Bora mtu ukasome PSPA au PA Kisha ukimaliza ukasome Diplomasia pale Kurasini. IR kwa Tanzania bado sana.......
Nipe Email yako nikutumie opportunityNme fight sana ,ila nmekosa nmeamua kuleta hapa,then mm n mdada cyo uncle sorry kwa kukrekebsha
Ipi hiyo mkuuAjira ni ngumu aunty, pambana utatoboa,
ila nilisikia kk security wanatangaza kazi cjui utaweza, usiku kazin mchana shule
security officer mwanzaIpi hiyo mkuu
Uko mbalisecurity officer mwanza