Nahitaji Kazi ya Housekeeping

hii ndio tanzania sasa ukianzxa kuota ndoto za canada na usa utazeeka nyumbani
sisi tunataka mabadiliko, na maisha mazuri. marafiki wote wanakaa nyumbani, na cheti kutoka shule..bila kazi. kupoteza muda kufanya bure kwa wahindi tumeshachoka...
 
Hivi kwa jinsi unavyoanika siri za makampuni ya watu humu mitandaoni, unadhani nani ataajiri mtu kama wewe?

Elimu zenu za kuunga unga halafu unataka mshahara mkubwa!!
Utafanyia hiyo house keeping chumbani kwako.
 
Andika vzr..umeshtua dry??
 
sisi tunataka mabadiliko, na maisha mazuri. marafiki wote wanakaa nyumbani, na cheti kutoka shule..bila kazi. kupoteza muda kufanya bure kwa wahindi tumeshachoka...
toka hapo nyumbani ukafanye kwa wahind utengeneze mtaji kama kweli una nia ya kazi ......hakuna ajira my friend kwa sasa mahotel maofisi maduka yanafungwa
 
toka hapo nyumbani ukafanye kwa wahind utengeneze mtaji kama kweli una nia ya kazi ......hakuna ajira my friend kwa sasa mahotel maofisi maduka yanafungwa
mbona watu wanaamka mapema sana asubuhi, kama maofici yanafungwa, watu wanaenda wapi asubuhi sana?
 
hahah sio kweli, au wanaamka kupata waschana tu saa mmoja asubuhi jamani? hapana, watapeli wamefungwa maofici kama Home shopping center, na wengine kutoka kariakoo na mjini. watu wengine na biashara safi wanaandelea kama kawaida.
 
Kwa nini asijiajiri mwenyewe hata kwa kuanza umachinga wa nguo za watoto au wakubwa kike na kiume. Ilala pale akiwahi asubuhi anapata t shirt, blouse, skirt za buku nzuri tu ambazo anaweza uza kitaa elf 3,5 mpaka 10. Juzi nilikua shopping binafsi nimepata t shirt 5 kwa elf 5, tracksuit 1 kali kwa elf 5.
 
hahaha anataka kuajiriwa
 
hahah sio kweli, au wanaamka kupata waschana tu saa mmoja asubuhi jamani? hapana, watapeli wamefungwa maofici kama Home shopping center, na wengine kutoka kariakoo na mjini. watu wengine na biashara safi wanaandelea kama kawaida.
ccm tu ndo wezi
 
Ivi wewe ni mtanzania kweli??[emoji58] [emoji58] [emoji58]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…