Nahitaji kazi, naomba mnisaidie

Nahitaji kazi, naomba mnisaidie

Mkuu Omba Ajira za utumishi zilizotangazwa majuzi... Pitia Uzi wangu nilioupost Asubuhi Kuna pdf 2 pale Ajira zipo zaidi ya 3500 Serikali.. power to you
 
Habari,

Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira.

• Jinsia: Ke
• Elimu: Bachelor Degree ya Commerce in finance (BCOM finance) pia nina Diploma in Finance and Banking.
• Ninapoishi: Dodoma
• Uzoefu wa kazi : Sijawahi kuajiriwa ila nimewahi kufanya field na kujitolea kwenye taasisi za kukopesha fedha.

Nilikuwa nimejiajiri mwenyewe(mjasiriamali), ila kuna matatizo nimeyapitia ya kifamilia yaliyopelekea kunidhoofisha kifedha hadi kuingia kwenye mtaji wa biashara.

Naomba yeyote anayeweza kunipa ajira kwenye office yake au hata anayeweza kunisaidia kupata ajira anisaidie. Nina hitaji sana ajira ili niweze kujikimu na kuendesha maisha yangu na wategemezi wangu.

Sifa za ziada
-Ninajua kutumia computer.
-Ninafahamu kutumia Microsoft word, excel na PowerPoint.
-Ninajua kutumia accouting software mbili (quickbooks na excel).
-Uwezo wangu katika lugha ya kingereza ni mzuri, ninaongea (90%), kusikia na kuelewa (100%), kusoma na kuandika kwa ufasaha (100%).
-Pia mimi ni mchapakazi na ni mwaminifu, mkinipa ajira hamtojutia uamuzi wenu.

Yeyote anayeweza kunisaidia ajira au hata ushauri naomba aniambie nitamfuata inbox.

Asanteni.
Ungeweka na picha yako ( full) ingependeza
 
Sawa asante kwa ushauri nikipata mtu wa kunipokea nitakuja kujaribu huko pia
Hapo kwenye snacks umenikosha,,

Tuwasiliane, huenda Nikakupa kibarua cha kujishikiza siku kadhaa wakati ukiendelea kutafuta kazi Ya hadhi yako.

0769636666. Meseji tu.
 
Habari,

Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira.

• Jinsia: Ke
• Elimu: Bachelor Degree ya Commerce in finance (BCOM finance) pia nina Diploma in Finance and Banking.
• Ninapoishi: Dodoma
• Uzoefu wa kazi : Sijawahi kuajiriwa ila nimewahi kufanya field na kujitolea kwenye taasisi za kukopesha fedha.

Nilikuwa nimejiajiri mwenyewe(mjasiriamali), ila kuna matatizo nimeyapitia ya kifamilia yaliyopelekea kunidhoofisha kifedha hadi kuingia kwenye mtaji wa biashara.

Naomba yeyote anayeweza kunipa ajira kwenye office yake au hata anayeweza kunisaidia kupata ajira anisaidie. Nina hitaji sana ajira ili niweze kujikimu na kuendesha maisha yangu na wategemezi wangu.

Sifa za ziada
-Ninajua kutumia computer.
-Ninafahamu kutumia Microsoft word, excel na PowerPoint.
-Ninajua kutumia accouting software mbili (quickbooks na excel).
-Uwezo wangu katika lugha ya kingereza ni mzuri, ninaongea (90%), kusikia na kuelewa (100%), kusoma na kuandika kwa ufasaha (100%).
-Pia mimi ni mchapakazi na ni mwaminifu, mkinipa ajira hamtojutia uamuzi wenu.

Yeyote anayeweza kunisaidia ajira au hata ushauri naomba aniambie nitamfuata inbox.

Asanteni.
Jaribu hapaView attachment TANGAZO LA AJIRA MPYA NAFASI 207 - FINAL 02062022 - signed_docx.pdf
 
Mbali na fani za kusomea.

1.Ninajua kutengeneza cake , mikate, cookies. Sina cheti na sijasomea.
Nimefanya hii kazi kwa ndugu yangu alikuwa anatengeneza za kuuza. Hivyo ninaandaa from scratch hadi mwisho.

2.Ninajua kupamba kumbi za sherehe zote, mikutano hadi misiba. Hii pia sijasomea na sina cheti. Hii ni kazi nimejifunza kutoka kwa mama yangu (ndio kazi yake) niseme tu nimefuzu na ninaweza kufanya mwenyewe.

3.Mimi pia ni Msusi. Ninasuka nywele za aina karibia zote. Hata mitindo mipya inayoingia hainichukui muda kuielewa. Sina pia cheti.

4.Nimewahi kufanya kazi stationary mwaka mmoja, ninajua kutoa photocopy, printing, scanning, laminating, kutengeneza cards (business cards, na hata za mialiko ya shughuli mbalimbali) na kutengeneza vitambulisho. Pia kwa ninajua kuchapa kazi (typing) na nina speed nzuri.

Naombeni kazi.
Aise multi talented hivi kumbe naweza wekeza million 10 kwako tukatoka kimaisha
 
Dah mbona kazi unazo mkuu, ila unaona sio zenyewe na unaomba ajira?. Hapo tayari uko na kazi 4,ambazo ukizifanyia michakato utatoa na ajira kwa wengine watafutao.
 
Hapo kwenye snacks umenikosha,,

Tuwasiliane, huenda Nikakupa kibarua cha kujishikiza siku kadhaa wakati ukiendelea kutafuta kazi Ya hadhi yako.

0769636666. Meseji tu.
Samahani nilikuwa offline, bado nafasi ipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom